Breaking newsFeatures

SWAHILI: Pesa za Ruto zavunja mlima

Mgombeaji mwenza wa Naibu wa Rais William Ruto, Rigathi Gachagua sasa amekiri kwamba fedha za Ruto ndizo zilimwezesha kukwea Mlima Kenya Kisiasa. Akizungumza wakati wa mkutano katika eneo la Bonde la Ufa, Rigathi alitaja wazi kwamba jamii za Mlima Kenya zinapenda pesa huku akirejelea hawakuwa na budi kumkumbatia William Ruto kwa sababu ana pesa.

Naibu wa Rais William Ruto ametumia fedha nyingi kufadhili makanisa na makundi mbalimbali katika Mlima Kenya tangu alipoanza kampeni. Hatua hiyo imetajwa kuchangia pakubwa uwezo wake wa kukweka mlima kiasi cha kuwa na ufuasi mkubwa hata kumshinda Rais Uhuru Kenyatta.

Hata hivyo, kando na hayo, Ruto ametajwa pia kuwafadhili viongozi wa Mlima Kenya ambao wamekuwa wakimpigia debe na kusisitiza kwamba lazima walipe deni

Undated campaign photo of Rigathi Gachagua @Rigathi
Show More

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button